Women Matters: KWANINI Mwanamke kutoridhishwa na Mwenzi wake kwenye TENDO la NDOA ni KUJITAKIA!
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- PART FIVE
Hapa panaweza kukuumiza kichwa! Lakini inabidi tu ufuatilie kutokana na uzito wake. Tatizo la wanawake kutoridhishwa na wenzi wao katika tendo la ndoa.. Shida iko kwa nani? Mwanamke au Mwanaume?
Anayeangalia kwa Mara ya pili Kama Mimi tujuane😍 Yani mambo konki mpka Cha ku comment Sina😂
Utakoment nini laty?.. Maongezi mazito hayo. Wamemaliza. Watu wanajua mambo bwanàa.
😅😅😅😅jamani mie hat siach kurudia kuangalia
Yaani Laty we kama Mimi......
nipoooooooooo criss kanifurahshaaaaaaa
This is very hot 👍👏💃💃
Labda niwasaidie kitu kimoja....ni kwamba mwanamke akiwa na mwanaume huwa anakuwa na mawazo au vitu anavyofikiria na kujikuta wanakuwa waoga....wa tendo ilo hasa mwanaume unatakiwa kumuandaa kwa story kwanza ili kuanza kumtoa ule uwoga au wazo ambalo analoliwaza kwake......
Na kujikuta mwanamke mwenyewe anakuwa analainika hata bado ajavua nguo...nenda naye taratibu na kumvua nguo uku ile hali asiwe na hofu.....
Romantic ni nyingi hadi mwanamke anakuwa tiari ameandaliwa mwisho wa siku ufika kilele na kujikuta mnashirikiana ktk tendo sio mmoja anajituma mwingine ajitumi
michael kessy goood bro hiyo ndo point
Asante
Kabisaaaa
Naomba ni kupate wwe 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Aaaaah naanzaj kuangalia womens matter najifunz mengi kupitia hiki kipind i love dis
This is a nice content bringing professional people to talk about real problems especially psychological problems in the society. Kudos
nimekosa mengi toka kwa dR. ELIE kwa sababu mnaingilia kati bila kusubili amalize. peaneni nafasi tujifunze wote.
Huyu ni Lilian ndo anaingilia sana. 😁😁😁
Wanake wanachotakiwa kujua , mwanaume anaweza kumudu mda mrefu kama mwanamke atakuwa tayari kuenjoy , pia uke wa mwanamke unatakiwa kuwa na oil ya kutosha ili kumfanya mwaume kumudu tendo ole wake mwanaume aingize mashine kwa mwanamke uke ukiwa aujaloa oil my friend kumaliza ata sekunde ni inshu inashauliwa unapokuwa na mwanamke kwa kitanda ebu tufanye wote michezo ya kuchezeana nywele ili kila mtu awe tayari na sisi wanaume hatutakiwi kuwa na mahalaka mpaka mwanamke akuambie sasa baba nani nimeshindwa ingiza mashine ndio ingiza, ukingiza tu na mahalaka yako ni dakika tano tu umemaliza.
Ila kweli aaiiissee... Wanaume tunapenda wanawake vichaa kitandani...
Huyu Dr. Eli in no .1 e.Africa ,shida ni wanaomuhoji ovyoooo!!!!!
Kipindi kizuri sana 🔥🔥ila wanakera hawamuachi Dr Ellie akamaliza kuongea kila wakati wanaingilia 😈 wacheni mtu amalize point yake ndio muongeze hayo yenu 😠😠tunakosa kujua vingi kwa hashuo zenu hzo
Niffer Nurdin kama ww najua unaelewa hiii
Umewaona kama wana hashuo au ndio kisa wanawake wenzio ndio nyie mnashobokea wanaume
tatizo la wanawake wa kitanzania wanapenda kufanyiwa kilakitu na ndyo maana wanashindwa kujifanyia mwenyewe
Nimewaelewa sana kwakweli duuh....Lilian thanks for this
Much Respect kwenu I really enjoyed the show especially Dr Ellie you made my day
Tunao boreka na tangazo la NETFIX tujuane hapa...😄
Jameni, give Dr Eric a chance. His talks are very beneficial
Very True 😍
@@kweka14l35 very very!
@@mnzavachris5423 😍😍😍😍
@@kweka14l35co kwa makopa hayo, mwenzio hoi!
@@mnzavachris5423 hahahaha ushaanza wewe 😆😆😆😆
Bt Lily has a point...they should answer her question instead of kuipinga !
Dah madam lily jifunze kusikiliza jmn❤
Great show 👏👏👏👏 watching from kenya
Ufahamu wangu umefunguka zaidi... Much love for that 😊
Docter ww kiboko... Nakukubali Sana nakupata vyema toka usa.... 😁😁😁😁👍
From 255... Usivojali ADUI uadui unakufa.. Thanx Dr.
Fact 👌🏾thank you Dr Ellie 😍nime jifunza mengi kwa kweli thank you guys.Well done SnS the best show ever I love it 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Thanks for good shoow, Big thaks for Dr. Eliu Aminiani, leo nimemuelewa sana, elimu ya kutosha....
Dr.. his sinior alway.... Nimekuwa nimemfuatilia sana... Mara nyingi sana...
Sns mnatisha nawaona mbali big up sana sky
Sns mtaniuwa na muda! Mara women matters, Mara smart talk, Mara Dr. Chachu, Mara black chair, Mara round up🙊🙊👍👍👍👍🤗🤗🤗🤗💪💪💪🤔🤔🤔😍😍😍🤣🤣🤣🤣
😁😂😂😂
@@kweka14l35 htr sn!
New tanzania 🇹🇿 love you all incredible 💕
It's not new it's that you didn't know
Shubaamit, safii sana psychologists, saidia watu kama hao
kipindi ni 🔥🔥🔥nakipenda sana 😍sijawahi kukosa hata siku moja ,tnx sns mzidi kutuleteya
Asanteni kwa kutuelimisha lakini mnanihudhi kitu kimoja Tumia lugha moja Kiswahili au Kingereza msidhani wote wanaelewa kingereza kwangu Mimi na waelewa. Nyie ni watu mnaotoa elimu basi tumieni Kiswahili.
Kupata mda n kuskilz sns kipindi hiki ni bora kuliko kutumia mda kwa mambo maovu n yaliyokatwaza kidin na kijamii
Nimwitee nani aje apate madini hayaa sijui ni madin gan maaana ni zaid ya dhahabuu dr elie nimekuelewaaaa 🌹🌹🥰🥰🥰🥰
Lily unakelele mpenz punguzaa basii maaana 🏃🏃🏃🏃
Daaaah... Yan we dada unakera kichizi... Acha wataalamu waongee...
Muongoza kipindi simuelewi.....
Hawampi nafasi Dr wanaongea sana hao kuliko dr
Wote nawapenda apo aunt sadaka..mauki na Davie
Shikamoo Dr Elly
I love this program women matters l believe this program will save many marriages were learning a lot
ahaaa nimeelewa kweli.
tujiandae. tendo litanoga.
yaani ujijengee hisia za tendo kabla mwanaume hajaongezea.
kweli kabisa ukijiandaa kihisia mwanamke kisha mwanaume ataongezea. tendomlazima.litanoga
haswaa hapo ndio kila kitu, shida iliopo ni kwamba wengi wanaingia kwenye mechi wakiwa wamejaza migogoro kichwani, amejaza kumbukumbu mbaya za huyo mwenza wake, amekuja bila hisia kabisa halafu anategemea ndani ya hizo dakika 30 mwenza aweze kuvifuta hivyo vyoote halafu uanze kazi ya kumtengenezea hisia hadi amalize mechi kwa ushindi. wakati inatakiwa akija awe anawaza mechi nzuri yenye vionjo vyote vitamu na akivaa uhusika mkuu wa mpambano huku akipiga danadana kama zote, hapo lazima ndani ya dakika chache ushindi uwe umepatikana na kuendelea kupatikana mfululizo
Uyo Lili anakera! Si atulie yupo kama ngedere
Aaahahahhahhaahh aiseee nimecheeeeeeka mno, nimegundua Lilian angeolewa na Mauki,angekuwa anapigwa makofi kila siku.
We thank God haipo hivyo.
Aaaaaaa shukran mumenifunguwa macho mimi mwenyewe ndio majukumu kujifurahisha nimekubaliana na nyinyi .
I love sister lily coz is so real,
Dr elly... atari sana.
Asante sana aunt sadala, umeusoma mchezo
Hao wanaangalia sana picha za ngono zinawapotosha
I dint know Tanzanians can speak English ....am humbled .....nice talk show....
Ordo Templi Orientis 🙄🙄🙄🙄
Really?
@@eddalubinza8087 Mmenikunaaa
toeni makelele apo kama amuwezi kuongea mmoja
Mpeane nafasi kila mmoja achangie ili show ilete mvuto zaidi
Mm nimekutana kijana mmoja hv yaan ni anapesa,lakn hajiwez masikin ila ukimwangalia kwa nje bonge la hamsam ilikua ni uchumba tu na alikua ananipenda kweli ila nikaona apa ndoa itakua haiendi nimeona nijikaze tu nimsahau japo ngum ila bora nisahau tuu
nicheki inbox plz
@@lufrazolla6346 RUclips kuna ibox me cjuwag
hhhhhh,nawaelewa sana na huyo docta rafziyake ya maneno yanifurahisha but namwelewa sana nn anamaanisha
Nilichogundua kw haraka wanawake %kubwa hawajitayarishi kihisia ktk kufika kileleni wao wenyewe wanachojua no mwaname ndo mwenye wajibu huo na wkt mwingine hufanya kumridhisha mwenza hajakuwa tayari kw hilo
hahaha najifunza pia mimi nikamfanyie mume wangu mtarajiwa 😃😃😃thanx bby sky
This is sooooooo amaaaaaaazing discuuuuuuuuuusion
Dr. MAUKI, you killing me 🤣🤣🤣🤣
Lilia bwanaaaaaa! Usiharibu shoo.
Doctor Elly anaongea vizuri sana sana uwiiii
Am officially a follower of this channel
Daaah kla cku najifunza uuuwiiiiii yuo guys nmejfunza nmecheka daah asanteeen bas ngoja tukalaneeeeeew
Uwiii lily jamani ananyamazaa akiibuka na swali utapendaaaa
Mambo 👋
😂😂😂😍
thank you am learning dear lilly be blessed
Kifupiii ata Mimi nilikuwaa si enjoy lakin nilipopata MUME MWINGINE na enjoy mapenziii
Phinerywizk Classic 😂😂😂
Nice vichwa vitatu navikubali sana💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Nashukuru kwa somo jamani mungu awabariki. Kuanzia sasa daah nitaenjoy saana. Nimeelewa saana
Hahahaha
Wanao twanga mahindi acheni likes apa 😂😂😂😂 niwajuwe
Ok thanks
Very interesting and powerful topic
Nice show , I really enjoyed, and I have learned a lot
Mauki bhana una hatari mno aiseee,eti sio ku knock tu maana yake inaweza hata kuungua hii,
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka mno aiseee.
Anti sadaka ni MTU mzima anaelewa sn
Yaan kipindi kipo moto hatar da! Acha nitafute ela nipendeze ili nipendwe upo # MVP
Tenaaaa tutafute pesa tupendwe my
@@husnauthman7609 kabisaaa
mmeonaeee
Nimeipenda kweli hii point
Nimejifunza sanaaa😊
Thank you
Dr.Eli anavyoongea mm hooi, tchaaai. where did learn to talk like that jmn.lol
Amesoma na kuishi na kufanya kazi marekani muda mrefu
kikubwa mpeane nafas na mda wa kuzungumza ili kipndi hiki kzur kiwe na tija
Show ya kitaalaam saaaana i love it
Nawapenda sna
dah uyo baba yuko vizuri
The MVP
Nambie bro.. PATAMU HAPO.. mpaka dr anatoa maneno konki...😂😂😂
Mama mbn umekazia sana hapo kwenye msuguano
Fantastic sjafika mwisho lkn nimekipendaaaa . .good work sky
Binti yupo vizuri mimi nimeelewa
Huyo kuelewa ngumu kwa kuwa historia yake iangaliwe kwanza ameishije
@lilian jeremia mambo ni mengi
Aunt Sadaka🔥🔥🔥🔥🔥
Love Dr ele is my best
Me toooo
Nice show watching from Kenya
nimemtumia hii video haraka sana mke wangu ili apate madini haya ambayo mmevumbua na hayapatikani popote dunian tofaut na hapa SnS
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ah ah ah ah ah ah ah
Doctor nimeipenda concept yako
huyo mzee baba,anaelezea vzur
Dr Elly ni🔥🔥
Ongeeni kiswahili ili maadhui yafike Sawa Sawa,kipindi chenu kimebeba upatanisho.
Nimekuelewa sana Dr.Elli....Hy concept ya mwanamke kujihudumia nimeipenda .....
Hapo kweny kikao wanataka kuonyesha kwamba wanajua wakati hawajui zaid wanaharibu mzee amenyamaza baada kuona kelele
hamsikilizani ndiyo shida aongee mmoja mmoja bac
Big up sns.. Dr Eli, mauki nawaelewa Sana.. Hahaha eti tulane
Women are different bro... Halima sio Grace kila mmoja ana vibes zake uskariri... Msome manz nn anapenda then mchezeshe.
Lily 😢
Watu wengi hawajui kiigereza kwahiyo hapo wanawaelimisha wazungu au watanzania waoongea lugha ya kiswahili mnakera
Mmemaliza kila kitu asanteni sana
Lily anaingilia maongezi sana
women matters ongereni ila sijamuona @babysky, nime mis lile cheko
Nawatakia maisha marefu yani nafurah sana😁😁😁😁😁😁
Huhuhuuuuu am in lv with dc kipindi aku
Dada unaonekana unapenda urembo wa njanoo😂😂
Show nzuri sana